1 Kings 6:1-6

Sulemani Ajenga Hekalu

(2 Nyakati 3)

1 aKatika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Sulemani katika Israeli, katika mwezi wa Zivu, ambao ndio mwezi wa pili, alianza kujenga Hekalu la Bwana.

2Hekalu hilo Mfalme Sulemani alilojenga kwa ajili ya Bwana lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini,
Dhiraa 60 ni sawa na mita 27.
upana wa dhiraa ishirini
Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.
na kimo cha dhiraa thelathini
Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.
kwenda juu.
3 eBaraza ya mbele ya Hekalu ilienea dhiraa ishirini kulingana na upana wa Hekalu na kujitokeza dhiraa kumi mbele ya Hekalu. 4 fAkatengeneza madirisha membamba yenye vidirisha vidogo vya juu katika Hekalu. 5 gAkafanyiza vyumba vya pembeni kulizunguka Hekalu lote vikishikamana na kuta za Hekalu na za Patakatifu pa Patakatifu. 6 hGhorofa ya chini kabisa ilikuwa na upana wa dhiraa tano,
Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
ya kati ilikuwa dhiraa sita na ya tatu ilikuwa dhiraa saba.
Dhiraa saba ni sawa na mita 3.15.
Kuzunguka ukuta wa nje wa Hekalu akapunguza ukuta pande zote ili boriti zisishikane kwenye kuta za Hekalu.

Copyright information for SwhKC